,

MMH!! KWELI LULU BALAA..TAZAMA HIZI PICHA ALIZOPIGA NA JARIDA LA VIBE

9:28 AM


Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine sasa ni wakati wa elizabeth michael “lulu”. Lulu ameamua kufunguka kuhusu mambo mengi yanayoendele katika maisha yake na unachotakiwa kufanya ni kusubiri visiku vichache kabla vibe magazine halijadondoka mtaani kwako.

**TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA**

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....