Hizi ndizo picha za joka la ajabu ambalo aliuawa timu ya wataalamu na
wanasayansi huko Misri, Joka hilo lilipatikana katika bahari ya Sham
(Red sea) na tayari inasemekana joka hilo lilikuwa limeshaua watu 320
ambao ni watalii pamoja na waogeleaji wengine 125 wanasemekana
wameshauawa na joka hili.
Wanasayansi ambao walifanikisha kukamatwa kwa joka hilo na kuuawa ni
hawa, D. Karim Mohammed, d. Mohammed Sharif, d. Mr. Sea, d. Mahmoud
students, d. Mazen Al-Rashidi. na wazamiaji ni Ahmed leader, Abdullah
Karim, fisherman Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, spears
Alvajuma, Mahmoud Shafik, a full-Sharif. Kwa sasa joka hilo
limehifadhiwa katika makumbusho ya wanyama ya Sharm El Sheikh
international
Hili joka ni zaidi ya anaconda, kama unavyoona picha hapo juu.....limebebwa na semi trailer lakini bado haikutosha......Duuuuh
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments