UKISIKIA MAAJABU NDIO HAYA, TAZAMA PICHA ZA JAMAA ALIYEFUNGA NDOA NA MBWA...

10:20 AM

man marries dog



 Ukisikia maajabu ya Musa ndio haya, jamaa mmoja nchini marekani katika jiji la San Francisco ameamua kufunga ndoa na mbwa, kama unavyowaona hapo pichani. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Chapel of Our Lady at the Presidio. Bwana harusi anajulikana kwa jina la Paul Horner na bibi harusi anaitwa Mac (Mbwa). Baada ya ndoa hiyo Kasisi aliyefungisha ndoa hiyo alihojiwa na kusema kuwa bwana harusi ana furaha ya ajabu sana kwani alikuwa akionekana anatabasamu kila mara. Wasiwasi wangu ni kwamba  'watafanyaje tendo la ndoa?' na Je wakiweza kufanya watapataje watoto? na kama wakipata watakuwa wamefanana na nani? Hahahahahaha.   Sijui wewe mdau wa teenz Choice una maoni gani??


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....