,

TAZAMA PICHA ZA KOBE MKUBWA KUPITA WOTE DUNIANI....NI BALAAA

10:44 PM



Mambo ya Mungu haya!! Kobe huyu ambaye ndio kobe mkubwa kushinda wote, alipatikana katika mto Amazon huku america kusini, ana uzito wa Kilograms 382.67, umri wake ni miaka 529. Inashangaza sana, kobe wa aina hii inasemekana kuwa wanapatikana kwa wingi sana katika mto amazoni hasahasa katika nchi ya Peru, Brazil, Colombia, Venezuela na maeneo mengine ambayo yamepitiwa na mto huo. #SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....