,

TAZAMA PICHA ZA JAMBAZI LILILOKUWA LIKIUA WATU HUKO TARIME..

11:43 PM

http://www.thebesttz.blogspot.com/Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa   Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki katika Hospitali ya Wilaya  wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu.http://www.thebesttz.blogspot.com/

Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.
Majina mengine aliyokuwa akiyatumia kwa mujibu wa Kamanda Kamugisha ni pamoja na Josephat Chacha na Charles Msongo.

"Mwili wa marehemu upo chumba cha maiti katika Hospitali ya Wilaya ukisubiri kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa na ndugu zake," alisema Kamanda Kamugisha.ANGALIA PICHA ZAIDI

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....