
Leo
asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali mbaya sana ya
magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia
mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa
magari hayo kateketea kabisa kwa moto.

Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka


Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo.
Credits: Michuzi Blog
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments