BILA shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili
mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake,
kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao
wawe wanasarakasi yaani wawe wepesi wa viungo.
Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na
mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na
panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetu
anaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake.
Kuinama: Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia ama kiti, kitanda
au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume
atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke
mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukumatumbo lake.
Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi
kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni
lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni
moja kati ya sehemu kuu ya mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na
msisimko wa ajabu unaompelekea mwanamke yoyote yule kufika kileleni !.
Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wake kumshikashika
mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika
mwanamke sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani
endapo vitakakuwa havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara
baada ya kupapaswa navyo katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi
laini hivyo mwanaume anapaswa kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu
ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya mapenzi.
Kukaa: Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye mapaja
yake, hapa uume wa mwanamke hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya
mjamzito asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi
staili hii kwani ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari
ameshuka, mwanamke huonekana kuchoka na kuelemewa na tumbo.
Hivyo kwa kuwa mtoto huwa ameshuka mwanamke husikia maumivu sana pindi
mwanaume anapotumia staili Fulani Fulani ambazo humpa nafasi ya
kuingizauume wake wote kwani motto huwa ameshuka hali
inayopelekeakusukumwa na uume wa mwanaume pindi unapoingizwa na hivyo
kumsababishia mwanamke maumivu.
MUHIMU:
Ni kweli katika kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujisikia
kuchokachoka sana hali inayowafanya wasipende kushiriki tendo la ndoa,
lakini hali huwa tofauti kwa wanaume wengi pindi wapenzi wao wawapo
wajawazito kwani ni kipindi ambacho mwanaume hufurahia sana kushiriki
tendo la ndoa na mjamzito kutokana na ukweli kuwa katika kipindi hiki
mwanamke huwa na joto lakutosha sehemu zake za siri, joto ambalo
humfanya mwanaume apagawe.
Hivyo mjamzito anapaswa kuhakikisha anafanya kila analoweza kumpa mwenza
wake unyumba isipokuwa tu endapo atakuwa ameshauriwa na daktari
kutoshiriki tendo la ndoa kwa sababu za kitaalam !.
KUJUA STYLE TOFAUTI NA PICHA ZAKE------->>>BOFYA HAPA
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments