SWALA
hili limekuwa sugu yani kila kukicha tunakemea kwa kulizungumzia picha
za wadada hawa mitandaoni, Hapo mwanzoni tulihisi walighafilika maana
hakuna binadamu aliyekamilika lakini kwa sasa tumegundua kuwa wanafanya
makusudi,.. Wengi hujiuliza kuwa Bloggers wanapataje picha hizi? Ukweli
ni kwamba picha hizi wadada hawa bila aibu huanza kuzitupia katika
kurasa zao za
facebook na hata Instagram.
Sijui tunaelekea wapi na ulimwengu wetu maadili yamemomonyoka, Tunashindwa kuutumia utandawazi vizuri.
Onyo!
PICHA hizi hazina maadili kabisaaaa..! Hivyo kama unajijua hauna miaka
(18+) usibofye tafadhali, Ukijipendekeza kubofya tusilaumiane..
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments