matukio,
mpya
MSANII HUYU ATANGAZA KUTOKA NA WAUME ZA WATU, ASEMA HATOKOMA...SOMA ZAIDI HAPA
8:59 AMMSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’
amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria
ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu.
“Nikila kiapo cha kutotembea na waume za watu nitakuwa naongopa, kwanza dini yetu imeruhusu ndoa za uke wenza huenda Mungu kaniandikia niolewe ndoa ya aina hiyo sina uwezo wa kupingana naye,” alisema Rayuu.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments