mpya,
wasanii
HUYU NDIO MSANII WA BONGOMOVIE ALIYEPATA MCHONGO WA KUCHEZA FILAMU YA X HUKO SOUTH AFRICA
4:32 AM
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko Afrika Kusini ambayo inashirikisha nyota kibao wa ndani ya Afrika.
Inadaiwa
kuwa msanii huyo ameonekana na watu hao baada picha zake kadhaa kuzagaa
kwenye mtandao ndipo wapoliamua kumtumia ujumbe kwa njia ya mtandao,
na kama atakubali basi atakula mshiko ambao hajawahi kuukamata tangu alipodhaliwa.
Chanzo
kikubwa cha kuaminika kilichofanya upekuzi huo, kilibaini ukweli kwamba
msanii huyo anachati na watu hao lakini hajawaweka wazi kama ataweza
kufanya ishu hiyo ambayo itambidi asafiri.
Mpekuzi wetu alitumia muda wa saa kadhaa kukaa na msanii huyo na kumdadisi lakini hakupewa chochote na inadaiwa kuwa ishu hiyo ipo
na watu wanamtaka kutokana na uzuri wake, pia wameona ni mtu ambaye
hana aibu baada ya kuziona baadhi ya tattoo kwenye makalio yake.
“Inadaiwa
kuwa jamaa walichokipenda kwanza ni msanii pia hana aibu kwani aliweza
kuchora tatoo, lakini sijui kama msanii huyo amewajibu kwani habari
nilizonazo tena nimeona kupitia macho yangu ni hizo, asa sijui ni watu wanamzingua au vipi,” alisema mpekuzi wetu.
Hata
hivyo alipotafuwa Rayuu kuulizwa juu ya ishu hiyo alibaki kuchecheka na
hakuna chochote alichozungumza zaidi ya kudai kuwa kuna watu wamemtumia
mail ya kumtaka akacheze picha hizo kwa dau kubwa lakini hajawajibu
kwani anahisi wanataka kumuharibia mipango yake ya maisha kwa madai hiyo
kitu ambayo hawezi kufanya katika maisha yake
0 comments