,

HIKI NDICHO KISANGA KILICHOMKUTA TRAFIC HUKO KENYA BAADA YA KUPIGA MKONO GARI NDOGO, KUMBE ALIKUWA NI MHESHIMIWA PRESIDENT

11:25 PM

Hii imetokea kenya ambapo hivi juzi rais uhuru alikuwa akipita kuelekea katika hotel moja kwenye mkutano .... askari ambaye alikua zamu barabarani siku hiyo alilisimamisha gari ... ndipo rais alijaribu kama kumpita lakini askari huyo bila kujua alisimama imara ,,,, ndipo uhuru aliposhusha kihoo na kusema " ni mimi officer fungua" hata hivyo maaskari wamekuwa na furaha na utawala wa raisi huyo kwani wanadai siku hizi hawapati kazi ya kucontrol magari kwa ajili ya msafara wa rais kama ilivyokuwa utawala wa mwai kibaki

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....