,

HAYA NDIO MAGARI WANAYOMILIKI WACHEZAJI WA AZAM, HEBU YATAZAME HAPA

1:26 AM

 

SALUM ABUBAKARI 'SURE BOY'





BRYAN UMONYI



KIPRE TCHETCHE



KIPRE AKIWA NA PACHA WAKE, BOLOU




Gari hizo pamoja na kuwa nzuri, zenye kasi nzuri lakini kuna mambo haya ndiyo yanaonekana kuwavutia wachezaji hao.



1.   Udogo wa umbo, hazisumbui kupata sehemu ya kuegesha, Dar es Salaam inajulikana kwa kuwa na usumbufu wa parking.

2.   Ulaji wake wa mafuta si wa juu sana, hali inayowavutia hasa ikizingatiwa wanafanya mazoezi Chamazi ambako ni nje ya mji kabisa


3.   Vipuli vya gari hizo haviwezi kuwa ghali kama ukilinganisha na magari mengine aina ya Toyota yaliyotoka pamoja na IST, mfano Brevis ambayo anamiliki Gaudence Mwaikimba.

credit.Sallehjembe.com
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....