,

HAWA NDIO WASANII WENYE MIKOKO YA GHARAMA HAPA TANZANIA, TAZAMA PICHA NA MAGARI YAO

4:37 AM



TAZAMA NA USOME BEI ZA MAGARI HAYO HAPA CHINI....

06. Ommy Dimpoz

Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.



05 . Ney wa Mitego

Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.





04 . Wema Sepetu

Wema Sepetu anamiliki gari aina ya Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.



03 . Lady Jaydee

Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.



02. Irene Uwoya

Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.



01 . Diamond Platnumz

Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

1 comments

  1. Hawa wasanii wa kibongo ni waongo sana..hayo magari mengi wanayotumia yameshatumima.kwa iyo aifiki bei wanazosema na isitoshe wengi wao wananunuliwa hayo magari kwa sanaa gani mpaka wanunue hayo magari...ofkoz baadhi yao wanauwezo huo na kati ya hao ni jd na diamond wanaoweza kuaford gharama izo but hao wengine wote ntantalila...

    ReplyDelete

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....