HATIMAYE 'FINE ASS GIRL' ATOA ONYO KWA MIDUME INAYOMTOLEA MACHO...SOMA HAPA
9:39 AM
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia
juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema
kuwa ana mtu wake.
“Sitaki
kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi
wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui
wapoje!” alisema Masogange.
GPL
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

0 comments