matukio,
mpya
DUUH, TAZAMA JINSI MCHUNGAJI ALIVYOFUMWA AKIIBANJUA AMRI 6 NA MKE WA MTU, APEWA KIPIGO KITAKATIFU..ONA HAPA
10:36 PM
Kizaazaa
kilishuhudiwa mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya kasisi wa kanisa
moja kufumaniwa peupe akiwa na mwanamke anayesemekana kuwa mke wa
wenyewe ndani ya chumba cha malazi. Kasisi huyo alipatikana na umati wa
watu, uliofika hapo kushuhudia sinema ya bure. Inadaiwa mchungaji huyo
alikuwa na tajriba ya kuendesha ibada yake sio kanisani tu, bali hata
kwenye vyumba vya malazi.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI...
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments