DUUH!! KWELI MAPENZI NI NOMA, NEY WA MITEGO AMNUNULIA MPENZI WAKE MKOKO HUU HAPA
11:01 AM
Kupitia
instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake
na kuandika maneno haya.Zic iz 4u bby…zawadi yako my superwomen…chama
kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha kaa Umooooo
@truegal966
0 comments