matukio,
mpya
DUUH, HILI NI FUMANIZI LA MWAKA, JAMAA AFUMWA NA MKE WA RAFIKI YAKE WAKIIBANJUA AMRI YA 6, TAZAMA HAPA
7:49 AM
MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni
kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja
aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke
wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments