Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha
anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo
huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni
utundu wake kitandani….
Akiongea na mwandishi wetu, Baby Madaha amedai
kuwa tuhuma za kutumia dawa za kienyeji hata yeye amezisikia
tu, lakini wote wanaomtuhumu hivyo ni kwamba hawamjui yukoje
anapokuwa kitandani…
Alisema kuwa utundu wake anapokuwa kitandani ndo siri ya
kuwateka wanaume kwani huzingatia sheria na kanuni zote za
maandalizi ya tendo hilo pindi awapo na mteja wake kitandani.…
Madaha aliongeza kuwa hata huyu mkenya aliye
naye watu wanasema kamuwekea dawa.Ukweli ni kwamba yeye
hajatumia dawa yoyote bali karidhika na mapishi yake ya
chumbani…
“Situmii
dawa yoyote.Ni ufundi wangu tu ninapokuwa kitandani na
mwanaume. Nayajua mapishi na najua njia zote za kumpagawisha
mwanaume hata awe mgumu kiasi gani”...Alisema baby Madaha
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments