,

ZITTO ASHINDA, MENGI YAIBUKA TENA....SOMA ZAIDI HAPA

4:37 AM

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh Zitto Kabwe, ameshinda pingamizi lake alilofungua Dhidi ya baraza la wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu wa Chadema.

Mh.Zitto Kabwe  akiingia Mahakamani

Zitto alitaka alitaka kamati kuu ya CHADEMA isijadili uanachama wake na apewe "minutes" za kikao kilicho mvulia vyeo vyake ndani ya chama ili aweze kukata rufaa kwenye baraza kuu la chama.

Maamuzi ya Mahakama

Mahakama imetoa amri ya pingamizi

Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.

Alichoandika Zitto kwenye ukurasa wake wa facebook  mara baada ya kushinda pingamizi lake



You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....