Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya cha hicho, Joseph Yona akitolewa eneo la tukio. (Picha na Millard Ayo)Mashuhuda wa tukio hilo wanadai walisikia kelele za mtu kupigwa saa tisa usiku.
Mwenyekiti huyo anadai alichukuliwa nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally na watu wasiojulikana waliokuwa na gari kama la polisi wakidai wananipelekea kituoni kabla ya kuanza kunishambulia kisha kunitupa.
0 comments