,

MSANII DUDE AFARIKI DUNIA...SOMA ZAIDI HAPA

8:45 AM

Mwigizaji mzee DUDE afariki Dunia.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mwigizaji maarufu wa vichekesho katika kundi la FUTUHI mzee Dude amefariki dunia.
Hatujapa taarifa kamili za msiba huu ila tutawaletea zaidi hivi punde zikiwa kamili.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....