,

HUU NDIO UJUMBE KUTOKA KWA LULU KWA WATU WANAOKOSEA KUCHAGUA WAUME/WAKE

10:59 AM

 Kabla hujafall in love ukazama na miguu kabisa muulize Mungu kwanza huyu mtu aliyekuja maishani mwangu sasa amekuja kwa kusudi gani? Siyo kila anayekuja kuwa mpenzi wako wewe unamtreat kama mme/mke, siku akiondoka unapata vidonda vya tumbo, unalia machozi debe tatu na kuanza kusema 'Why me Lord?', nimejitoa sana kwake siamin we are not together na kujiapiza hutapenda tena....kila mtu anayeletwa kwenye maisha yako analetwa kwa kusudi maalum, mwingine analetwa kwenye maisha yako ili akufundishe usafi, kuoga kutwa mara 3, hana sifa hata moja ya kuwa mkeo/mmeo, we unang'ang'ana Mungu nipe huyu huyu... Take care and ask God to give you the right person....

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....