,

HIVI NDIVYO CHADEMA WALIVYOKULA VICHWA KWENYE MKUTANO WAO HUKO RUVUMA, TAZAMA HAPA

12:50 AM

Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa akiwasha moto Songea mkoani Ruvuma.
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea mkoani Ruvuma.
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja Daima.


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....