Shukrani za dhati kabisa zinakuhusu
wewe shabiki yangu wa kwelikwa kuwa nami ,kunipa moyo na kunipa sapoti
hatua zote ninazopiga na siku zote niliahid kuwa
zawadi pekee nitakayokuwa nakupa ni kazi
nzuri zaidi jukwaani,videon na redion
hivyoi basi siku ya leo ndiyo siku niliyoichagua
kukupa fursa ya kutazama video
yangu mpya (number 1 remix)niliyofanya nchini Nigeria na
mwanamziki wa Nigeria Davido
nina imani utaupokea na
Davido nina imani utaupokea kama ulivyofanya kwa
kazi zangu zote za nyuma.
@Diamond Platnumz
0 comments