,

WEMA SEPETU AFICHUA SIRI NZITO YA MILLARD AYO....SOMA HAPA

2:15 AM


collage
Watu wengi sana watakuwa wanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekee ya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua#AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.
img_6219

Je, umezisoma hizi ?


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....