,

HUDDAH AZUA GUMZO KWA KUTUPIA PICHA ZA UCHI MTANDAONI, TAZAMA HAPA

4:05 AM

Dada huyu wa huko kenya, inasemekana kuwa upigaji wa picha za uchi ndio kitu kilicho mpa umaarufu mkubwa sana kuliko hata kushiriki Big Brother Africa. Watu wanadai kwamba amekua akionekana mara kwa mara mitandaoni tofauti na washiriki waliopita kutokana na picha zake hizo za uchi. Pia imeshauriwa kuwa tabia hiyo inaweza kumjengea picha mbaya hata kumfanya kukosa madili mengine makubwa.


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....