Chanzo
cha habari hii kinasema kuwa kijana huyo alichukua stuli na kuiweka
nyuma ya mnyama huyo aliyekuwa bado yuko ndani ya hori lake, kisha
akashusha suruwali yake ili achomowe mashine na kuanza kuisokomeza
kwenye.... ya mnyama huyo.
Akiwa
juu ya stuli aliinua mkia wa mnyama huyu kwa mkono wa kushoto huku mkono
wa kulia ukiwa unamalizia kuipaka mashine mafuta ili iingie bila kikomo
chochote.
Mnyama huyo alipandwa na ghadhabu sana pale mkia wake uliponyanyuliwa kisha akageuka haraka sana kumkabili fedhuli huyo.
Jamaa
alipoona hivyo, alipandisha boksa yake na suruwali haraka sana.
Hatahivyo, hakufanikiwa kuifikisha suruwali juu kabisa kwa sababu pia
alikua akikimbia kuelekea nje kabla mnyama huyo hajamvamia na kuamza
kumwadhibu.
Jamaa
alifanikiwa kukimbilia nje huku akiwa kasahau mlango wazi. Kwa kuwa
mnyama huyo bado alikua na hasira za kufa mtu, alitoka naye ndani
kwelekea nje kwa spidi ya Jeti ili ajirithishe kwa kumwathibu ipasavyo.
Kilichotokea huko nje, kinaonekana kwenye picha hapo juu!!
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments